Summary: Wafanya Usafi (3 Positions) at Fastlink Agri Business

Job Details

  • Location: Kenya

Job Description

Wafanya Usafi (3 Positions) at Fastlink Agri Business

FASTLINK AGRI-BUSINESS

Shughuli za Kusaga Nafaka — Kigoma, Tanzania

NAFASI ZA KAZI

MFANYA USAFI (Nafasi 2)

Kituo cha Kazi

Kigoma

Sifa

Awe na afya njema na mwenye kujali usafi

MAJUKUMU MAKUU

  • Kusafisha eneo la kusaga nafaka, ofisi, maghala na vyoo kila siku.
  • Kutunza sakafu, maeneo yanayozunguka mashine na sehemu za kazi ziwe safi bila vumbi na uchafu.
  • Kukusanya na kutupa taka kwa njia sahihi.

Kuhakikisha kiwango cha juu cha usafi kinatunzwa katika eneo lote la kazi.

Kutoa taarifa ya mahitaji ya usafi au upungufu wa vifaa vya usafi.

  • Kufuata sheria zote za afya na usalama wakati wa kazi.

Kufanya kazi nyingine

zozote

za usafi kama atakavyoelekezwa na msimamizi.

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: 16 Septemba, 2026

Jinsi ya Kutuma Maombi

Waombaji wenye nia na sifa wanaombwa kuwasilisha barua ya maombi pamoja na wasifu (CV) wenye maelezo ya kina na nakala za vyeti husika. Maombi yanaweza kutumwa kwa barua pepe au kufikishwa/kutumwa moja kwa moja kwenye anwani ifuatayo.

Wafanya

Usafi (3 Positions)

Tuma kwa

Email

[email protected]

Fastlink Safaris & Tours Ltd

Lumumba Road

P.O. Box 750

Kigoma – Tanzania

Kumbuka: Waombaji waliochaguliwa pekee ndio tutakaowasiliana nao. Fastlink Agri-Business ni mwajiri anayetoa fursa sawa kwa wote.

How to Apply

Application link: Apply for this job